Polisi wa bongo akibebwa hivo ujue kesho yake kimeota. Bado tuna uendeshaji wa polisi wa kikoloni zaidi, hata sheria za polisi yenyewe ni Ordinance tulizorithi kwa mkoloni, hatujawahi tengeneza zetu. Jeshi la mkoloni lilikuwa na lengo la kumtisha mwananchi na kumjaza uoga dhidi ya Mtawala (mkoloni). Ndo maana tutapigwa tu kwakuwa mtawala anasema katuchoka.