Hamna bwana we already know the gravity and how devastating the situaion is....lakini kuweka picha za walooadhirika ndio bishara hiyo? mbona marekani hawaweki picha kama hizo sept 11 uliona picha hata moja ya maiti ama mtu akining'inia from the rubble???? nimechoka tu!