Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 766
Argentina wamewaua kwa sumu raia wote waliokuwa weusi, wachache waliobaki ni laana kujiita mwafrika, Google blacks of argentina au youtube uone na video
Nawe una mawazo kama ya wazungu kua na ngozi nyeusi ina maana ni MWaafika. Sasa naomba kufahamishwa watu wa mataifa yafuatayo ni waafrika? Micronesia,FIji,Jamuhuri ya DOminika,PAnama,EL Salvador,MAshaal,ST. LUCIA,SIR LANKA, BANGLADESH,VENEZUELA,COLUMBIA,GUYANA,FRANCE GUYANA,BAHAMAS,PUETO RICO, COSTA RICA,DOMINIKA,
Mwafrika ni yeyote alitoka/kaa katika bara la Afrika,hivyo kij iografia Misri,Algeria Mauritania, Angola, Cap Verde Jibuti,Comoro, Msumbiji zote ni Afrika, ila kirace MISRI TUNISIA, na wengine hao ni WAarabu.
i went to school with people from Haiti, commonwealth dominica, jamaica na St. Kitts... they were like 7 na ni mmoja tu ndio alikua proud to be associated na uafrica
and were very shocked kuona hata picha za africa, miji na culture kewnye net
i think they are moer of ignorant kuliko hating africa
Rastafari ni dini ambayo inaabudu utu weusi. Jamaica ndiyo ngome kuu ya Urasta. Mtume wa Marastafari alizaliwa Ethiopia, aliishi Ethiopia na kufia huko, na wapo waethiopia ambao hutamani kwenda Ethiopia kuhiji. Ethiopia ipo Afrika, yaani bara la KuSh. Na Kush maanake nchi ya watu weusi. Wajamaica walio wengi wanapenda kujitambulisha wenye asili ya Kush.
Hapa JF huwa tunapita kujifunza mambo. Unapokuwa hujui kitu unanyamaza kusoma wengine wanaolijua hilo jambo vizuri wanasema nini kwani kwa kufanya hivyo utajifunza mengi. Sasa wewe ambacho umejaribu kufanya hapa ni kujaribu kufundisha kitu ambacho hukijui. Ndiyo maana nilikwambie dogo, wakati mwingine ni busara kukaa tu kimya...
Ukiwakuta Florida hao wahaiti wanaringaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nyodo nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii lakini thanks to the earthquake that hit Haiti a few years ago, walikuwa exposed, na siku hizi wahaiti wengi wanaona hata aibu kujitambulisha kuwa ni wahaiti
Hao Wa Jamaica wenyewe na uweusi wao bado wanajiona sio waafrika na hawataki kusikia umewaita hivyo..they simply doesn't like africans!! The teenagers gang war in London of black on black is all about teenagers of jamaican's origin fighting with the ones from african's origin..ie.nigerians/..watu weusi hawapendani si mnaona hata wabongo kutwa kujadili udini as if hizo ni dini zetu wakati wenye nazo hata hawazifuatilii.
Historia ya marasta naijua sana..kitu kimoja lazima ujue sio wajamaica wote ni marastafarian , ni wachache kwa population yao ila wengi kuliko nchi zingine zote zenye marasta..huyo kiongozi wa marasta alikua ni mfalme Haile Selasie- simba wa yuda..na ndie aliwapa ardhi marasta wanaoishi ethiopia....lakini hilo la wajamaica kuukataa u weusi lipo sana ni fact..
Argentina wamewaua kwa sumu raia wote waliokuwa weusi, wachache waliobaki ni laana kujiita mwafrika, Google blacks of argentina au youtube uone na video