Sina hakika ila najua haytham na niite bosheni wako muda mrefu inafika hata miaka mitano au zaidi wako pamoja Kuna kipindi walitengana nadhani baadae wakarudianaga!!!walikua wanapenda sana Hawa haytham na niite bosheni
Hana majivuno,hajisikiii,Hana dharau anaishi maisha ya kawaida sana yule mama very humble woman!!!humsikii kwenye ushenzi Wa aina yoyote Riyama Wala majisifu