Haitaki kucopy chochote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haitaki kucopy chochote

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MUREFU, Apr 16, 2011.

 1. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #1
  Apr 16, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Habar zenu wanathnker jana niliipiga chn window xp s2 nikaiweka nyngne mara baada ya kuona machne imekuwa nzito na kunabaadh ya mafile ya window kuwa yameliwa na virus na pia partishe niliyokuwa nimefanya mwanzo ilikuwa ndogo hvyo nikaongezea. Sasa bas baada ya hufanya hvyo na kurekebsha kila ki2 mashine haitak kucopy chochote yan ukitaka kuhamisha nymbo kwny memory card na kusent kwny mashine inasema driver not installed na ukitaka kuhamisha chochote kutoka kwny machne kwenda kwny USB flash inagoma je ni tatzo gan hapo wanathnker? Aina ya mashne ni DELL tower
   
 2. P

  Paul S.S Verified User

  #2
  Apr 16, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Mkuu hapo inawezekana ni tatizo la driver haijawa installed sina hakika na jina lake lakini jaribu hii, right click my computer kisha pofya properties kisha nenda divice manager, angalia drivers ambazo hazipo zitakuwa na rangi ya njano, right click kwenye kila rangi ya njano kisha chagua update/install itasearch automatic kisha ita install. hakikisha upo connected na net
   
Loading...