Haipingiki timu hizi tatu za EPL haziwezi pita UEFA 16 bora

Mpira Dk 90 kwahio ninauhakika timu uengerza zitatinga finally uefa

Kama za uengerza hapo sawa zitafika fainali ila kama za Uingereza hizo zitaishia robo
 
Mpira Dk 90 kwahio ninauhakika timu uengerza zitatinga finally uefa

Unapata wapi ujasiri wa kusema "Nina uhakika timu za uingereza zitatinga fainali uefa?"

Weka fact zilizokufanya ujiamini kiasi hicho ili ueleweke zaidi,

Ila Kama ulikuwa unatabiri tuu au unajipa matumaini hapo sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom