Haihusu mapenzi hii... nje ya mada mita 800 kwa spidi ya km 200/hr nisikamatwe na wenye hasira

Kwahiyo gharama za kutuma pesa ni $50 sio.... Asante sana kwa msaada mkuu
 
Rushwa haitakwisha tz

Kweli kabisa...kama kupata passport huna haja ya magumashi...kwenye ile fomu ya kuomba passport kuna requirements na procedures zote...tatizo watu ni wavivu wa kufata maelekezo wanapenda short cuts...mwokozi wao rushwa...kuna mda wanalaukiwa watumishi kwa kula rushwa...ila akitokea mtumishi mwaminifu akatae rushwa naye atabezwa kwa uaminifu wake...
 
Asante kwa msaada dadaangu, naufanyia kazi ushauri wako, mpaka wiki ijayo hivi nadhan ntakua nimeshajua exactly cha kufanya...
 
mkuu gharama ya julipia passport ni 50000 ndio kias kinacholipwa Uhamiaji. usiudanganye Uma
uhamiaji wapo wapi ndugu...?
 
mkuu gharama ya julipia passport ni 50000 ndio kias kinacholipwa Uhamiaji. usiudanganye Uma

Hizo ofisi za worldrimit hapa bongo zipo wapi nikawaone, maana nlikua nataka kutuma kama 100000 Tsh kwa ajili ya application flani hivi
 
mkuu gharama ya julipia passport ni 50000 ndio kias kinacholipwa Uhamiaji. usiudanganye Uma

mmmmmhh! mimi nililipia dirishani kwenye ofisi ya uhamiaji Kurasini.
ukishalipia taratibu zingine zinafuata muda huo huo kama vile kwenda kuchukuliwa finger prints.
Nielekeze ofisi ilipo mkuu, kurasini sehem gani
 
mkuu gharama ya julipia passport ni 50000 ndio kias kinacholipwa Uhamiaji. usiudanganye Uma

mmmmmhh! mimi nililipia dirishani kwenye ofisi ya uhamiaji Kurasini.
ukishalipia taratibu zingine zinafuata muda huo huo kama vile kwenda kuchukuliwa finger prints.

ni pm nitakuelekeza namna ya kupata passport kama utakuwa hujapata majibu ya kutosha kwa wengine. mambo ya pesa, sijui lolote!
Mpaka next week ndo ntaanza kuyafanyia kazi, kama vip ntaku pm ili niweze kufanikisha hili......
 
Hizo ofisi za worldrimit hapa bongo zipo wapi nikawaone, maana nlikua nataka kutuma kama 100000 Tsh kwa ajili ya application flani hivi

Sasa poti umequote watu wote hawa....
Ziko bank ya watu wa Zanzibar ndio agent wao kwa tanzania so likely kuchukua hela inakuwa ni hapo Dar!

Au ingia kwa mtandao www.worldrimit.com ni mtandao wa watu wa ufilipino huna haja ya kwenda bank wala kudeposit cash ni juu kwa juu tu ili mradi una master card(debit card) na passport, ukishajisajili ni raha mno unahamisha pesa toka popote duniani very cheap mfano:
Last week nimetuma $700 kwa chaji ya $18 sasa sijajua kwa currency ya huko uko itakuwaje mkuu
 
Fuata utaratibu mkuu wa kuchukua form na kujaza pale uhamiaje...thn kila kinachoitajika utaambiwa
Kama huna haraka ya nn kupita njia za mkato mkuu!!!!!
 
mkuu gharama ya julipia passport ni 50000 ndio kias kinacholipwa Uhamiaji. usiudanganye Uma

mmmmmhh! mimi nililipia dirishani kwenye ofisi ya uhamiaji Kurasini.
ukishalipia taratibu zingine zinafuata muda huo huo kama vile kwenda kuchukuliwa finger prints.

ni pm nitakuelekeza namna ya kupata passport kama utakuwa hujapata majibu ya kutosha kwa wengine. mambo ya pesa, sijui lolote!

Sasa dada inaonekkana wewe unafahamu vema haya mambo, hilo la passport nadhani sasa nimeanza kulielewa, vip hayo mambo mengine ya kutuma pesa hiyo kwenye taasisi ya nje eg. mtu labda anafanya application chuo cha nje, ile application fee utaituma vip, kwa benki za hapahapa bongo au kuna other means.... halafu pia kuhusu kutuma hiyo barua eg. ikiwa ni barua ya application, unaweza kutumia posta na ikafika...
 
mkuu gharama ya julipia passport ni 50000 ndio kias kinacholipwa Uhamiaji. usiudanganye Uma

mmmmmhh! mimi nililipia dirishani kwenye ofisi ya uhamiaji Kurasini.
ukishalipia taratibu zingine zinafuata muda huo huo kama vile kwenda kuchukuliwa finger prints.

ni pm nitakuelekeza namna ya kupata passport kama utakuwa hujapata majibu ya kutosha kwa wengine. mambo ya pesa, sijui lolote!

Mama Mchungaji nakuheshimu sana na nilipoanza kuisoma tu hii thread I felt the same. Mpwa wetu anatapeliwa hapa. Please kuweni makini. Or else Mpwa wetu weka details za nini unataka kufanya utasaidiwa sana na kuepushiwa majanga
Nataka kufanya application fulani ya chuo, sasa nlikua nahitaji passport, halafu kuhusu kutuma application fee pia nlikua nahitaji kujua ni kivip ntaituma.... ndo hayo tu, halafu pia kwenye kutuma ile application kwa njia ya barua, inawezekana nikatumia posta na itachukua muda gani kufika au kuna alternative?
 
mkuu gharama ya julipia passport ni 50000 ndio kias kinacholipwa Uhamiaji. usiudanganye Uma

mmmmmhh! mimi nililipia dirishani kwenye ofisi ya uhamiaji Kurasini.
ukishalipia taratibu zingine zinafuata muda huo huo kama vile kwenda kuchukuliwa finger prints.

ni pm nitakuelekeza namna ya kupata passport kama utakuwa hujapata majibu ya kutosha kwa wengine. mambo ya pesa, sijui lolote!

Mama Mchungaji nakuheshimu sana na nilipoanza kuisoma tu hii thread I felt the same. Mpwa wetu anatapeliwa hapa. Please kuweni makini. Or else Mpwa wetu weka details za nini unataka kufanya utasaidiwa sana na kuepushiwa majanga

Nakuomba wasiliana na wahusika ulipie hili tangazo
Hahahahaa hiv muhusika kweli wa JF ni nani? anaitwa nani aliyeanzisha hii
 
Uko wapi? Kama ni dar fuata utaratibu wa uhamiaji kama wadau walivyokuelekeza haya mambo ya shortcut usiyasikilize . Gharama ni Tsh 50000 + zingine ndogo ndogo sana utaelekezwa hukohuko.
 
uhamiaji mambo ya passport kurasini.......
 
Tatizo lilopo nikuwa wengi wetu akili zetu zimejengeka kuwa kuna rushwa, kujuana na kutaka kupata huduma fulani kwa njia za mkato,
Wakati ambapo huna hata taarifa sahihi za hatua za kufuata ili upate huduma ambayo unaihitaji tayari ushawaona watu wa mtaani ambao hata mwenyewe ushaanza kuwatilia shaka.

SIKILIZA:Hakuna kitu longolongo katika tasisi ya uhamiaji sasahivi ila longolongo utaitengeneza wewe mwenyewe.

1.Jiulize unazo nyaraka zote muhimu unazohitajika kuwa nazo kuiomba hiyo pasipoti?
2.Umejaza fomu kiusahihi na kufuata taratibu zake?
3.Una sababu(Safari?) ya msingi ya kuimba hiyo pasipoti.

Kama chochote katika hivyo hakijatimia, lazima utaaelekezwa utimize, na ndio hapo tuliowengi tunasema tunatengenezewa wazingira ya kupigwa kiaina..

Na kubwa zaidi jingine zaidi huwa tuna kawaida ya kuitafuta pasipoti tukiwa katika hali ya uharaka yaani tunakurupuka tukiwa na mipango ya safari katika muda mfupi ujao,
Hapo ndipo utata unapokuja,

Mtu unataka uhamiaji waitoe pasipoti ndani ya masaa ama siku moja au mbili sasa kuhakikisha hilo linafanyika ni lazima hata hao wafanyakazi pengine wakurukishe hatua (Waharakishe) ingawa pia si utaratibu.
katika hali ya kawaida watakufanyia bure?

Kila mtu anakula sehemu yake.
Na atataka kula zaidi iwapo utamtaka mwenyewe (Kwa ushawishi wako) avunje kautaratibu ka kawaida.
Tusiwe wanafki iko hivyo.
Na hata ingekuwa wewe ungefanya hivyohivyo.

Lakini amini, kama documents zako ziko sawa, umejaza fomu vizuri na huna presha,
Ndani ya wiki mbili unaipata pasipoti yako labda itokee kuna tatizo la kiofisi na kwa kawaida huwa ikitokea hivyo inatangazwa.

Tusiishi kwa kukariri na kupotoshana- Nenda ofisi zao pale jengo la mambo ya ndani au makao makuu Kurasini jirani na chuo cha diplomasia kama umepanda daladala kutokea Kariakoo/Posta shuka kituo cha Mgulani JKT-shule.

LAH,KAMA PESA ZAKO SIO ZA MAWAZO:
BASI WAPE WATOTO WA MJINI WAKURAHISISHIE KAZI. UNAKAA NYUMBANI WANAHANGAIKA WAO.
WEWE KAZI YAKO INABAKI KWENDA KUPELEKA ALAMA ZAKO ZA VIDOLE KISHA UNALETEWA GANDA LAKO HATA BAA UKITAKA.****KUWA NA PESA RAHA NA KAMA UNAYO BASI IKUSAIDIE BASI.

.....................................................Naomba kuwakilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…