EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
jana tulikuwa sehemu tunapata moja moto moja baridi baada ya kijimuda kupita kuna kaukimya flan kakajitokeza pale... Mara jamaa m1 akaamua kuuliza ivi nchi gani ipo jilani na USA Kuna mwanetu m1 wala hakutumia nguvu kutengeneza jb akasema inaitwa USB... Acha tufunge kikao kwa kicheko wk'end njema jamani