Haichekeshi ila daah....

Jamaa katisha sana.....akachinje kuku mweusi maaana hiyo chupuchupu si mchezo
 
Hahahaha naona yenye vumbi kapendeza kama lipstick vile hahahahaha
 
picha ya kwanza caption ilikuwa "maombi yenu ndugu zangu,niombeeni nifike salama,nipo safarini".picha ya pili Sasa," thank God,nimenusurika ajalini,Mungu ni mwema". analysis,,,ndugu zake hawakumuombea,hakufika salama.labda hawakuona picha yake ya kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…