tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,201 Reaction score 29,764 Nov 27, 2018 #41 Miss Jf2018 said: Ndiyo lakini nahitaji mume bora, c bora mwanaume, ni bora muda uende ila nipate chaguo jema kuliko kuwahi alafu baada ya siku mbili nianze kulia lia Click to expand... Haya basi vizuri Kwa kuwa na uelewa huu.Swali lingine gumu nimearisha kukuuliza.Best wishes dear
Miss Jf2018 said: Ndiyo lakini nahitaji mume bora, c bora mwanaume, ni bora muda uende ila nipate chaguo jema kuliko kuwahi alafu baada ya siku mbili nianze kulia lia Click to expand... Haya basi vizuri Kwa kuwa na uelewa huu.Swali lingine gumu nimearisha kukuuliza.Best wishes dear
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 27, 2018 #42 Miss Jf2018 said: Kivipi Click to expand... Umeshawahi tapeliwa? Au ulisha wahi ingia kwenye mapenz ukaachwa?
Miss Jf2018 said: Kivipi Click to expand... Umeshawahi tapeliwa? Au ulisha wahi ingia kwenye mapenz ukaachwa?
LaplaceTransformation JF-Expert Member Joined Mar 21, 2017 Posts 776 Reaction score 679 Nov 27, 2018 #43 Miss Jf2018 said: Kwa hiyo huku ukitaka kumuandikia mtu inbox ndo unasema pm??? Click to expand... Click hiyo bahasha iliyofinguliwa, then kwa chino Julia utaona bahasha ilifungwa, fingia hiyo kisha endelea kama inavyoandika barua pepe!
Miss Jf2018 said: Kwa hiyo huku ukitaka kumuandikia mtu inbox ndo unasema pm??? Click to expand... Click hiyo bahasha iliyofinguliwa, then kwa chino Julia utaona bahasha ilifungwa, fingia hiyo kisha endelea kama inavyoandika barua pepe!
fierceman JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 553 Reaction score 758 Nov 27, 2018 #44 hai...hoiiiiiiiii....haiiiiiiiii....karibu jf
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,917 Nov 27, 2018 #45 Miss Jf2018 said: Habari za huju jamii forumu mimi mgeni Naombeni mnipokee na mnijulishe sheria za humu Asanteni natokea mkoani Click to expand... Nikafiki umeleta taarifa kutoka wilayani HAI! Karibu sana jf mkuu.
Miss Jf2018 said: Habari za huju jamii forumu mimi mgeni Naombeni mnipokee na mnijulishe sheria za humu Asanteni natokea mkoani Click to expand... Nikafiki umeleta taarifa kutoka wilayani HAI! Karibu sana jf mkuu.
harder king JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 3,970 Reaction score 6,917 Nov 27, 2018 #46 dingimtoto said: Hmm! Haya sasa jiandae kisaikolojia tu Click to expand... na kwa style alioingia nayo lolote laweza mkuta.
dingimtoto said: Hmm! Haya sasa jiandae kisaikolojia tu Click to expand... na kwa style alioingia nayo lolote laweza mkuta.
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,461 Reaction score 67,445 Nov 27, 2018 #47 nakuona boss mode kazini dingimtoto said: Wewe miss mkoani hii ni JamiiForums sio forumu Click to expand...
nakuona boss mode kazini dingimtoto said: Wewe miss mkoani hii ni JamiiForums sio forumu Click to expand...
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Nov 27, 2018 #48 Chura ipo?
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 27, 2018 #49 ledada said: nakuona boss mode kazini Click to expand... Hahah! Nampa abc mgeni
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,461 Reaction score 67,445 Nov 27, 2018 #50 Vizuri boss dingimtoto said: Hahah! Nampa abc mgeni Click to expand...
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,461 Reaction score 67,445 Nov 27, 2018 #51 Mgeni karibu
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 27, 2018 #52 ledada said: Vizuri boss Click to expand... Kwema lakin huko
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,461 Reaction score 67,445 Nov 27, 2018 #53 Huku salama,za huko? dingimtoto said: Kwema lakin huko Click to expand...
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 27, 2018 #54 ledada said: Huku salama,za huko? Click to expand... Huku safi na salama, za majukumu?
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,461 Reaction score 67,445 Nov 27, 2018 #55 Nzuri kabisa boss dingimtoto said: Huku safi na salama, za majukumu? Click to expand...
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 27, 2018 #56 ledada said: Nzuri kabisa boss Click to expand... Sawa, salimia ndugu&jamaa
The Happiness JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 6,990 Reaction score 45,415 Nov 27, 2018 #57 dingimtoto said: Hmm! Haya sasa jiandae kisaikolojia tu Click to expand... Haha, dingii wewe
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 27, 2018 #58 The Happiness said: Haha, dingii wewe Click to expand... Rabekha...!!
The Happiness JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 6,990 Reaction score 45,415 Nov 27, 2018 #59 dingimtoto said: Rabekha...!! Click to expand... Nimependa tu hints zako kwa mgeni... Mambo!
dingihimself JF-Expert Member Joined Jan 9, 2016 Posts 9,802 Reaction score 20,296 Nov 27, 2018 #60 The Happiness said: Nimependa tu hints zako kwa mgeni... Mambo! Click to expand... mgeni inabidi tumuonyeshe na kumpa tahadhari juu la lolote linalohusu humu
The Happiness said: Nimependa tu hints zako kwa mgeni... Mambo! Click to expand... mgeni inabidi tumuonyeshe na kumpa tahadhari juu la lolote linalohusu humu