HAHAHAHA NENO MOJA KWA MDAU CHUMVINI

Ndivyo inavyotakiwa hivyo..sio unakumbuka kuvaa buti chini tu halafu juu huvai helmet.
 
Teh teh members only ndio na unavyo wakandia wakongwe sijui kama watakuruhusu ufike huko
Mbona nipo sijaona kitu "kikubwa" au cjui milango

Sina bifu na wakongwe bali ni baadhi tu wanaotuzingua kule Chit chat
 
Mbona nipo sijaona kitu "kikubwa" au cjui milango

Sina bifu na wakongwe bali ni baadhi tu wanaotuzingua kule Chit chat
Teh teh ndio maana nikakuambia umewachana wakongwe kabla hujajua viunga vyote vya jamii forum ,kuna mlango wa kuingilia huko kwa wakubwa
 
Teh teh ndio maana nikakuambia umewachana wakongwe kabla hujajua viunga vyote vya jamii forum ,kuna mlango wa kuingilia huko kwa wakubwa
Hahaha..kumbe lkn invisible ananikubali mbona.....me ht nisipofika hilo jukwaa poa tu sipendi kuchekicheki "matuc"...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…