Hafu sema computa zinnauzwa ghali tena, ona hii...

Hafu sema computa zinnauzwa ghali tena, ona hii...

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,481
Reaction score
104,168
DELL LLATITUDE D610, RAM 512MB, HDD 40GB, PROC. 1.7GHZ
BETRI INAZINGUA HAIKAI MORE THAN 15min, IPO KTK HALI NZURI, USED.

BEI THS. LAKI 2.5 TUUUU.

0759950757

PA1
 
DELL LLATITUDE D610, RAM 512MB, HDD 40GB, PROC. 1.7GHZ
BETRI INAZINGUA HAIKAI MORE THAN 15min, IPO KTK HALI NZURI, USED.

BEI THS. LAKI 2.5 TUUUU.

0759950757

PA1

Mbona hizo kuna jamaa anauza zikiwa hazina tatizo kwa bei hyo hyo mkuu. tena alipost hapa JF
 
nipo dodoma, namba ya simu hiyo kama vipi nicheki,
usini pm niko mbali kidogo na net sometimes ndugu
 
Ninatumia D600, nimeiongezea RAM ya 512MB zikafika 1.24 gb, inapiga kazi kama kawaida....tatizo lenu vijana ni kuonyesha ufahari!
 
wanashoboka na michina, acer, inspiron dell, toshiba cheki wanavoshusha dirisha daily
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom