hadithi hadithi...

hadithi hadithi...

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,910
Reaction score
63,599
Siku nyingi sungura alikuwa akimtafuta mwewe kwa kosa la kumuibia mwanae.
sungura akala dili na kunguru. akamwambia, kunguru eeh..mimi najilaza hapa, nenda kamwambie mwewe sungura amekufa mje wote kunila ili nmkamate. kunguru akamleta mwewe. mwewe alipofika akasema "mbona nliambiwa na babu sungura akifa huwa ananyosha miguu?" sungura kusikia hivyo akanyosha miguu. mwewe alivyo ona sungura kanyosha miguu kastuka. "kumbe hajafa!". akaruka zake. hadithi yangu inaishia hapo.
nlifundishwa na bibi. Mia
 
Hahaha mkuu nimecheka.. Dah shukran . Mia
 
Ha ha ha aah!! We ni mwalimu wa chekechea?? mia
 
mkuu umenikumbusha mbali hizo hadithi tulikuwa tunapigiwa mpaka tunalala
 
mkuu umenikumbusha mbali hizo hadithi tulikuwa tunapigiwa mpaka tunalala

mkuu nani alikuwa anakusimulia? je hii hadithi mbali na kukukumbusha imekufundisha nini? Mia
 
inabidi sungura atafute mtego mwingine wa kumkamata. ova
 
sungura huwa anasifiwa kwa ujanja lkn hapo anaonekana alikuwa *****
 
hadithi njoo,uongo njoo,utamu kolea. Hii hadithi inatufundisha ya kuwa ukijiona wewe mjanja/mjinga/basha/shoga/kahaba/malaya/mbeya/mnafiki/tp/mchawi/mganga/mcheza mpira wa miguu/wa mikono/wa wavu/wa pete/mwanamuziki/mods/founder/mchekeshaji/muuzaji/mteja/mlanguzi/mwizi/jambazi/mfanyabiashara/fisadi n.k basi ujue ya kuwa"YUKO ZAIDI YAKO" sungura na ujanja wake wote lakini kazidiwa kete na mwewe. Nalog off
 
Back
Top Bottom