matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,586
- 15,368
Hii ni kwa Mujibu wa mtandao wa yahoo finance. Utajiri wake umeshuka kwa masaa machache kwa USD 7Bil.
Pia kuna tetesi Data za wateja wa facebook zaidi ya Bilioni 1.5 zinauzwa na mahackers. Hii ni kwa mujibu wa hackera forum.
Pia kuna tetesi Data za wateja wa facebook zaidi ya Bilioni 1.5 zinauzwa na mahackers. Hii ni kwa mujibu wa hackera forum.