Hadi saa 12 kamili muda huu Januari Makamba hajarejesha fomu ya maadili

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,666
3,838
Nipo ndani kabisa ya idara nyeti ya serikali hadi muda huu Januari Makamba hajarejesha fomu ya tamko la mali na madeni kama walivyokuwa wameagizwa na mheshimiwa rais.

Mhe Maiga amerejesha,fomu ya Kitwanga na mpina zilikuwa misplaced na sasa zimeonekana.

Tunasubiri hatua ya rais kwani sasa ni saa 12 na dakika 4 jioni.
 
ngoja tusubiri mkuu tuone utekelezaji !!!!! vip kwa upande wa prof ndalichako imekuaje?
 
Hathubutu kumgusa. Waligombea urais wote na Janu aliingia katika 5 bora. Huwezi tupa presidaa material ati kwa vijifomu
 
Nipo ndani kabisa ya idara nyeti ya serikali.hadi muda huu januari makamba hajarejesha fomu ya tamko la mali na madeni kama walivyokuwa wameagizwa na mheshimiwa rais.

Mhe maiga amerejesha,fomu ya kitwanga na mpina zilikuwa misplaced na sasa zimeonekana.

Tunasubiri hatua ya rais kwani sasa ni saa 12 na dakika 4 jioni.
Ya Joyce Ndalichako vipi imeonekana? au naye kaamua kuachia ngazi!
 
daa jaman mamaa mama yetuu NDALICHAKO namkubali sana ..siumeona jinsi tcu walivyooanza kutumbua majipu kwa hofu ya mama ndalichako.. huyu mtu akiachia ngazi itaniuma sanaa aiseee..
 
Nipo ndani kabisa ya idara nyeti ya serikali.hadi muda huu januari makamba hajarejesha fomu ya tamko la mali na madeni kama walivyokuwa wameagizwa na mheshimiwa rais.

Mhe maiga amerejesha,fomu ya kitwanga na mpina zilikuwa misplaced na sasa zimeonekana.

Tunasubiri hatua ya rais kwani sasa ni saa 12 na dakika 4 jioni.

NA ASIPOMTUMBUA JIPU HUYO BASI TUJUE MAJIPU NI KWA WACHACHE TU, KWA NINI HAJARUDISHA
MPAKA SASA HIVI? NDIYO TUJUE HUYO DOGO ZILE PESA ZA ESCROW ZILIPITA KWAKE? ANASHINDWA KUZITOLEA
MAELEZO.
 
Nipo ndani kabisa ya idara nyeti ya serikali.hadi muda huu januari makamba hajarejesha fomu ya tamko la mali na madeni kama walivyokuwa wameagizwa na mheshimiwa rais.

Mhe maiga amerejesha,fomu ya kitwanga na mpina zilikuwa misplaced na sasa zimeonekana.

Tunasubiri hatua ya rais kwani sasa ni saa 12 na dakika 4 jioni.
Mkuu cheki email zenu mbona zimetumwa toka saa 9?
 
January bado anaumiza matumbo bavicha, kile kichwa! Form zake zilishawasilishwa kitambo sana na bahati mbaya ameamua kufanya mambo kimya kimya!
Anacheza tu na akili za nyumbu kama zile picha alizopost kipindi kile!
 
Back
Top Bottom