hadi Rwanda

Comfucious pedagogy

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
211
Reaction score
39
baada ya kuona wanawake bongo hii wamezidi ukanjanja VIP nmepata mke wa rwanda VIP kuna yeyote hapa mwenye wife from Rwanda anipe mrejesho kidogo.
 
baada ya kuona wanawake bongo hii wamezidi ukanjanja VIP nmepata mke wa rwanda VIP kuna yeyote hapa mwenye wife from Rwanda anipe mrejesho kidogo.

Pole ndgu yangu hapo uta share mpaka na baba mkwe na wajomba sjui utavumiliaa tena laivu bora michepuko ya bongo inafanya kimyakimya!!
 
Wanawake wapi Bongo wamezid ukanjanja...Unamaanisha hadi my wife yupo kwenye kundi hilo la ukanjanja ama ni hao wewe uliokutana nao?....ebu kuwa specific bana kabla sijachangia hiyo issue yako ya Wanyarwanda.
 
Watu hao kwanza uwe na hela, pili, hafanyi kazi house gal/boy wawepo time yote ndugu zake full kukutembelea nao wavivu ka nn afu akipigwa mistari tu anaachia papuchi hasa kwa masupa staa. Vp kama unaishi na ndomo jiran umeumia
 
bora choo cha kike hapo umeingia choo cha mashoga.
 
Mna maneno humu ndani wengine wamesimuliwa wengine wame ona basi taflani.nimeishi nao watajwa ila sijaona wala kusikia yaliyotajwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…