Hadi leo tarehe 23/7/2017 mshahara bado!

Ni shida kubwa.Tupo tunahangaika wenyewe wala hakuna anayeumizwa na hili suala.
 
Inawezekana taarifa zenu hazijakamilika na kesho ni siku ya kazi jaribuni kufatilia
 
zipo sawa mkuu
Watumishi wote wa umma mishahara imeingia toka ijumaa Mchana. Kama wewe bado possibly huja hakiki taarifa zako kwa kutumia kitambulisho cha uraia, salary slip pamoja kitambulisho cha kazi au majina yako ya kwenye akaunti yanatofautiana na majina yaliyoko kwenye pay slip! Fuatilia utajua tatizo lipo kwenye haya niliyo ainisha.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…