Hajui lakini maana yake Yeye kanunua mnadani...
hilo kanisa full utata, maana huyo jamaa anayeonekana kama kasisi hapo anauza magazeti. Alafu mbele kuna kama ubao wa matangazo na kuna watu wanamishemishe zao. Inaonekana kama hawapo stand basi ni hospitali au kituo fulani cha kiselikali.
angalieni hiyo pic vizuri then tukosoane kama siko sahihi.
Hilo sio kanisa.
Ni ukumbi fulani labda umetumika kuwakutanisha vijana kwa sababu tofauti na dini. Inaweza kuwa semina ya kuunda vikundi, au kujiandikisha na microfinance n.k.
Mbona siku hizi umekua adimu sana?
Waafrika tunatawaliwa kwa nengi.
imekaaje,yani.