Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Utaiconnect(pair devices) vipi? Assume huyo m2 amesahau kuturn off device na wewe ukasearch ikaiona sasa ukituma request akaignore utafanyaje ili iwe connected?
ndo maana wanakwambia connect na code ya 0000,,,,meaning itacconect automatically,, mkuu kwa taarifa yako hiyo ya ku-connect bila user ku-accept imefanya kaz ktk pc yangu
Mwaga maujanja hayo
ndo maana wanakwambia connect na code ya 0000,,,,meaning itacconect automatically,, mkuu kwa taarifa yako hiyo ya ku-connect bila user ku-accept imefanya kaz ktk pc yangu
na aliyetupia hili swali alikuwa kichaa au https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/366915-msaada-bluetooth-hacking.html ,,,,nakushauri brother kama maelezo yagu ambayo ni E LEARNING hayajitoshelezi tumia gooogleThere is no way ikaconnect automatically unless kama umeiambia ikumbuke connection. Ninassume simu yako na pc yako vinafahamiana (baada ya wewe kuviambia), then next time wakionana hawana haja ya codes wala nini.
Kimsingi kwenye computer ndo unafanya hiyo setting, lakini kwenye simu ukifuta hiyo computer yako, there is no way itafanya autonatically. sio maujanja wala nini.
Jaribu mwenyewe kisha uje ufute kauli yako.
sasa kumbe umeanza kwa ku negate sasa hivi unaomba maujanja yamwagwe ,,,we fanya maelezo yako hapo ,,,ukiona hayajitoshelezi fanya kumtumia google
Ebu quote sehemu ambayo nime-negate!! Nimeuliza maswali tu!!!
samahani mkuu niekufananisa lkn vp umeshughulikia
Mkuu.@njunwa wamavoko tupe link ya hiyo website uliyoweka hapo inaeleza vipi? ili tupate kusoma maana wewe umeweka nusunusu vitu jaribu kuweka kamili upate kuelewa asante. au tueleweshe vizuri ili tupate kujaribu asante.Hack Mobile Phones Through Bluetooth
Yes guys it is the mobile bluetooth hacker. It is a software which can be used to hack any mobile phone through bluetooth network. Once connected to a another phone via bluetooth you can do the following:
1) Call from his phone. It includes all call functions like hold etc. 2) Read his messages 3) Read his contacts 4) Change profile5) Play his ringtone even if phone is on silent 6) Play his songs(in his phone) 7) Restart the phoneSwitch off the phone 9) Restore factory settings 10) Change ringing volume
Notes:
1.) When connecting devices use a code 0000 2.) At start of programming on smartphones do not forget to turn on bluetooth before start of the [COLOR=#F8941D ! important][COLOR=#F8941D ! important]application[/COLOR]What else you wantJust go and downlaod itdownload