Habib bank

tycoonff

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
928
Reaction score
1,311
Wakuu habari, samahanini kwanza, nimepigiwa simu kwenda interview habib bank, napenda mnijuze wanalipaje hawa watu kwa entry level (fresh graduate, no experience) katika departments zote. Na pia mnipe any necessary information ambayo mngependa nielewe. Naombeni information ili niwe katika nafas nzuri ata ya kubargain endapo ikitokea, na pia kuhandle kwa umakini maswal ntayotupiwa. Asanteni kwa mchango wenu.
 
aisee omba muwe mmeitwa zaidi ya mmoja...huwa wanafika jf..wakiiona post yako watakujua tu...
 

walitangaza lini hzo nafasi?
 

umeitwa nafasi gan
 
Mwezi wa 11, walitoa email yao kwa ajili ya kutuma CV.

owkey..hyo email ilitolewa wap?mkisikiaga vitu km hv tuambianege jaman! Ndo umoja na upendo! Umeitiwa nafasi gani?
 
owkey..hyo email ilitolewa wap?mkisikiaga vitu km hv tuambianege jaman! Ndo umoja na upendo! Umeitiwa nafasi gani?

Ucjali mama...don't panic...tuko pamoja.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…