HABARINI

Joh mcCain

Member
Joined
Dec 12, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habarini za asubuhi wana JF
mimi nimechaguliwa Automobile engineering pale NIT Dar lakini kwa kuwa sina ufahamu mzuri kuhusu hiyo kozi nataka kubadilisha nikasome mechanical naomba ushauri wenu ni kozi ipi ambayo ni nzuri yaani future yake iko poa
pia kuhusu mkopo ukibadilisha kozi je inashida kwenye kupewa mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…