kiumbe kipya JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 2,831 Reaction score 1,304 Jul 16, 2018 #1 Wakuu nna shida ya kijana wa kike au wa kiume umri kuanzia 18-20 kazi za kufanya ni usafi wa nyumba, kumwagia mauwa,kufua na kupika chakula chake,mshahara wa kuanzia ni 50,000 nipo dar kigamboni.
Wakuu nna shida ya kijana wa kike au wa kiume umri kuanzia 18-20 kazi za kufanya ni usafi wa nyumba, kumwagia mauwa,kufua na kupika chakula chake,mshahara wa kuanzia ni 50,000 nipo dar kigamboni.
S Siku za ajabu JF-Expert Member Joined Dec 23, 2012 Posts 1,369 Reaction score 988 Jul 16, 2018 #2 Hujapata bado
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,523 Reaction score 14,002 Jul 16, 2018 #3 Chukua ndugu zako wakusaidie halafu uwape hivyo 50k Heshima ni kitu cha bure!!!
Nyange JF-Expert Member Joined Mar 25, 2010 Posts 3,517 Reaction score 1,869 Jul 16, 2018 #4 Siku hizi wapo ila wanaanzia 150,000. Otherwise utapata mhuni asiyejua kitu.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,509 Reaction score 27,809 Jul 16, 2018 #5 50000? hata kama anakula na kulala kwako ni kidogo sana mkuu ungeongeza kidogo
kiumbe kipya JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 2,831 Reaction score 1,304 Jul 16, 2018 Thread starter #6 Siku za ajabu said: Hujapata bado Click to expand... Bado mkuu
kiumbe kipya JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 2,831 Reaction score 1,304 Jul 16, 2018 Thread starter #7 Emilias G said: Chukua ndugu zako wakusaidie halafu uwape hivyo 50k Heshima ni kitu cha bure!!! Click to expand... Tatizo ni nini ndugu?post yangu inasema wa kuanzia
Emilias G said: Chukua ndugu zako wakusaidie halafu uwape hivyo 50k Heshima ni kitu cha bure!!! Click to expand... Tatizo ni nini ndugu?post yangu inasema wa kuanzia
kiumbe kipya JF-Expert Member Joined Sep 30, 2016 Posts 2,831 Reaction score 1,304 Jul 16, 2018 Thread starter #8 fundi bishoo said: 50000? hata kama anakula na kulala kwako ni kidogo sana mkuu ungeongeza kidogo Click to expand... Hiyo ni ya kuanzia mkuu
fundi bishoo said: 50000? hata kama anakula na kulala kwako ni kidogo sana mkuu ungeongeza kidogo Click to expand... Hiyo ni ya kuanzia mkuu
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,509 Reaction score 27,809 Jul 16, 2018 #9 kiumbe kipya said: Hiyo ni ya kuanzia mkuu Click to expand... sawa sawa kila la kheri
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,870 Jul 16, 2018 #10 kiumbe kipya said: Hiyo ni ya kuanzia mkuu Click to expand... Ya kuanzia kivipi?Nipo hapa.