G g89 New Member Feb 3, 2017 2 1 Apr 27, 2019 #1 Habarini wanna jamiiforum,samahanini kwawale waliowahi kufanya usahili wa udereva utumishi watuambie aina yamaswali ya oral wanayouliza.Asanteni
Habarini wanna jamiiforum,samahanini kwawale waliowahi kufanya usahili wa udereva utumishi watuambie aina yamaswali ya oral wanayouliza.Asanteni
Mgayajr Member Aug 22, 2016 17 18 Apr 30, 2019 #2 g89 said: Habarini wanna jamiiforum,samahanini kwawale waliowahi kufanya usahili wa udereva utumishi watuambie aina yamaswali ya oral wanayouliza.Asanteni Click to expand... Jipange tu kiakili maswali hayafanani Siku moja kulikuwa na interview Nhif wakatoa maswali ambayo yako nje ya udereva kabisa Mf swali ninalokumbuka, Mkurugenzi wa takukuru anaitwa nani? Hili swali sitalisahahu maana nilishangaa sana
g89 said: Habarini wanna jamiiforum,samahanini kwawale waliowahi kufanya usahili wa udereva utumishi watuambie aina yamaswali ya oral wanayouliza.Asanteni Click to expand... Jipange tu kiakili maswali hayafanani Siku moja kulikuwa na interview Nhif wakatoa maswali ambayo yako nje ya udereva kabisa Mf swali ninalokumbuka, Mkurugenzi wa takukuru anaitwa nani? Hili swali sitalisahahu maana nilishangaa sana
Ramo JF-Expert Member Aug 30, 2018 1,819 1,816 May 11, 2019 #4 Mgayajr said: Jipange tu kiakili maswali hayafanani Siku moja kulikuwa na interview Nhif wakatoa maswali ambayo yako nje ya udereva kabisa Mf swali ninalokumbuka, Mkurugenzi wa takukuru anaitwa nani? Hili swali sitalisahahu maana nilishangaa sana Click to expand... Aisee,
Mgayajr said: Jipange tu kiakili maswali hayafanani Siku moja kulikuwa na interview Nhif wakatoa maswali ambayo yako nje ya udereva kabisa Mf swali ninalokumbuka, Mkurugenzi wa takukuru anaitwa nani? Hili swali sitalisahahu maana nilishangaa sana Click to expand... Aisee,
S Samulai Member Mar 29, 2019 21 17 May 11, 2019 #5 Waliouzulia usaili wa oral kada ya udereva leo MZUMBE UNI naomba tujulishane kimeendelea nini maana waliniita ila nimeshindwa kufika.
Waliouzulia usaili wa oral kada ya udereva leo MZUMBE UNI naomba tujulishane kimeendelea nini maana waliniita ila nimeshindwa kufika.