naomba msaada kwa anayefahamu, kama umechaguliwa uende ukasome diploma ya ualimu na uliapply koz ya afya ukawa hujaenda ukisubir selection za chuo unaweza ukachaguliwa ?

ipo hv kunawatu wamechaguliwa na baraza special diploma ya ualimu, na kabla ya hapo walikuwa wameapply afya kupitia CAS, je kama hakwenda ualimu ambapo amechaguliwa na baraza je anaweza kuchaguliwa tena kwenye afya?