Habari!

mmmmh,
nenda tu hosp.
tena uende na watu wako wooote ulioambukizana nao
zaidi ya hapo kitakula kwako.
 
Jamii Forums,burudani sana!
Mtu ana shida,anaomba msaada,wachangiaji wanahamisha mada kwenda kwingine kabisa.Mwisho wa siku hakuna msaada wowote unaopatikana.

Anyway,ingawa muhusika hajaonekana tena,ila nadhani anatakiwa kwenda hospitali ili ifahamike anasumbuliwa na nini.Kwa kawaida kaswende hadi ioneshe dalili,inakuwa kwenye advanced stage ambapo inaweza kuwa hatari kwa mgonjwa ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa.Habari njema ni kwamba,ugonjwa huu unatibika kabisa tena kwa muda mfupi ikiwa mgonjwa atapata tiba sahihi.
 
Mimi ni mgeni kidogo humu. Napenda kujua nini dawa ya kaswende.

Mkuu, Dawa ya kaswende ni Antibiotics, lakini to be specific kusema ni antibiotic gani hufaa ni bora kwenda kupima (kwa yule anayeumwa), na kisha kupata/akapata matibabu kulibgana na Hatua/daraja la ugonjwa ulipofikia..kusema dawa bila kupima kunaweza kusababisha mtu kununua dawa na kutumia bila maelekezo vizuri (na hivyo kuleta madhara zaidi).
 
kwaswali ulilouliza imebidi nirudi juu kuangalia prifile yako kwanza.
ofcourse mimi ni mwl wa Physics na Chem, lkn hata Biology huwa nafundisha

Halafu ujue ile topic ya reproduction imenitoka, nataka ku-refresh sijui utanisaidiaje Dada yangu!
 
Back
Top Bottom