Karibu na jengo la Udbs na benki ya CRDB hapo ndipo idara ya lugha ya kichina ipo , mwaka juzi ilikuwa yafundishwa bure sijajua kwa sasa!!!
Mimi nilisoma bure kichina, japo sikutumiza kozi zote nikaacha kwa sababu ya wingi wa majukumu niliyokuwa nayo.