Napenda kushukuru Mungu kuwa nami Leo nimekuwa mmoja wenu Jf,,,naombeni sana ushikiano wenu ili nami niweze kuwa mbobevu na maswala mazito yanayotolewa humu kama mafundisho tosha ya jamii yetu kwa ujumla,,,asanteni saaanaa
Karibu sana mkuu. Hili ni jukwaa huru na elimishi sana. Ni platform muhimu sana. Hapa kila tatizo litapata ufumbuzi na kila swali utapata jibu lake.
Hatahivyo, uwe makini sana.....sio kila mchango utolewao hapa na sio kila kitu kisemwacho hapa ni fact. Vipo vingi ni ukweli lakini mengine ni matango pori. Kila penye "mamba" na "kenge" wapo.