B bayuon Member Joined Sep 27, 2016 Posts 14 Reaction score 11 Sep 28, 2016 #1 Mm nimechaguliwa udom bachelor of biology lkn nasikia eti iyo koz haina mpango wowote yaani wengi wanaomaliza kusoma hawapat kaz pia field hakuna..naomba tujuzane kama ni kweli nianze mipango ya kuhama mapema iwezekanavyo
Mm nimechaguliwa udom bachelor of biology lkn nasikia eti iyo koz haina mpango wowote yaani wengi wanaomaliza kusoma hawapat kaz pia field hakuna..naomba tujuzane kama ni kweli nianze mipango ya kuhama mapema iwezekanavyo
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,160 Reaction score 72,200 Sep 28, 2016 #2 Sasa ulipokuwa unafanya selection ya faculty hukufanya upembuzi yakinifu?? Jiandae kuwa ticha wa Bios tu maana hakuna namna
Sasa ulipokuwa unafanya selection ya faculty hukufanya upembuzi yakinifu?? Jiandae kuwa ticha wa Bios tu maana hakuna namna
sadiki756 Member Joined Aug 1, 2016 Posts 5 Reaction score 1 Sep 28, 2016 #3 Pata degree kwanza, akili yako ndo itakupa ajira all the best
I isaya songa Member Joined Sep 26, 2016 Posts 86 Reaction score 24 Sep 28, 2016 #4 Ujue chuo kinaweka fucult za kuingizia kipato ila so kwamba kwa musomaji h aina mbere wars nyuma cha musingi kabadirishee
Ujue chuo kinaweka fucult za kuingizia kipato ila so kwamba kwa musomaji h aina mbere wars nyuma cha musingi kabadirishee