Habari zenu wadau

Habari zenu wadau

sink sink

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
14
Reaction score
5
Mimi Nina miaka 40 nitatizo la kwenye mfumo wa viungo vyangu nyeti Kwanza kbisa ninauvimbe kwenye corodani la kushoto niwamda mrefu na limepanda juu kuliko lingine uvimbe huo haukui uko vile vile miaka yote wakati mwingine huwa unaniuma kwa mbali (2) ninauvimbe kwenye kwenye kichwa Cha uume kwa ndani ya nyama siyo kwenye tundu hakikui miaka yote Kiko vile vile na Wala hakiumi Ila wakati mwingine huwa kinachoma Kama sindano.Na kimesabisha uume kuwa mdogo na pia hausimami vizuri yaani siwezi kusimamisha hata sekunde 10. Nimehangaika Sana sijapata musaada wowote hata hospitalni mimeshaenda walinipima hawakuona tatizo. Kwamwenye kujua haya magonjwa na tiba yake anisaidie maana nateseka Sana kukosa familia.
 
Zingatia huu Uzi unaweza kupata madini hapa.

Nenda hospitali kubwa kama vike Muhimbili, Benjamin Mkapa, nk ukawaone Madaktari bingwa, watakusaidia.
 
Natanguliza pole na maombi kwa Mungu upate kutatua hio changoto.

Ukiona jambo umeshughulika nalo kwa kawaida halitatuliki jaribu kushughulika nalo isivyo kawaida.
Juwa hakuna jambo lolote ambalo halitatuliki ila njia ndio zimefichika, endelea kuwa na nia ile ile ya kudili nalo, kua na Imani litamalizika hivi karibuni,kama una amini katika Mungu weka maombi sala na dua kama kipao mbele njia zitafichuka, tembelea pia wazee, wale wamepitia mengi hawatakosa la kusaidia, na hata ulivyo lileta hapa jukwaani hutakosa la kukusaidia.

Yote ya yote Mungu akujalie upone brother.
 
Ameeen
 
Tatizo lina miaka mingapi, walicheki kaswende? Uko mkoa gani?
 
Back
Top Bottom