Habari zenu jamani....Haina Majasho!

Mkukuta ,,,,,haina majasho
Mkurabita ,,,,,haina majotro
semina elekezi ,,,,,, haina majastro
Kujivua magamba ,,,,,,haina mojoto
Rasimu ya miaka 5 ya maendeleo ,,,,,loh!!!
 
....mafunzo ya kijesho kwa idara ya mahakama kinondoni kwa mill 300... HAINA MAJOTROOOO
 
Serikali kusajili vyuo vikuu visivyokuwa na sifa stahiki wala makao maalumu tena vyenye ada kubwa na kuvisupport kwa kuvipelekea wateja kupitia TCU.......haina majotrooo!!! Tumaini University........???
 
Serikali kuuza umeme nchi jirani haina majasho aka majotroo
 
bajeti ya upinzani kubaniwa coverage na TV....Haina Majotroooo!
 
bomoa bomoa barabara ipanuliwe ......................... haina mijasho.
 
Viwavi wa cmm kupinga ukweli
Haina Majotroo...........
 
Duuuh!!! kweli hii swagga
haina majotrooo!!!
 
Raisi naenda kunywa chai US,hapana jaso!
Polisi napiga raia yake 2 na ngeni 1 risasi na kuua Arusa,hapana majaso!
 
Tutaendelea kufanyiwa ujinga huu mpaka tuamke kama Misri bila majasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…