bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,321
- 4,671
Kuna habari za Kimichezo zimetokea nchini Mwetu Ila hazijavuma sana kama vile.
Kocha wa Taifa Stars kutangaza wachezaji watakaounda kikosi hicho,Nahisi kwa michuano ya Caf kitaitwa Killi Stars sasa.
Ndo kusema Watz wamekata tamaa na timu yao Sijui.
Azam Fc kupata Ushindi dhidi ya timu ya Swazilland,Mbabane Swallows,Wengi tulizungumzia mechi ya Yanga Vs Zanaco ila ya Azam Ilisaulika,Huu ulikua mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Unaweza kuongeza habari nyingine za kimichezo Muhimu.