Mtihani nililipiwa na usajili umeshakamilika tayari. Kilichobaki ni juhudi zangu mimi mwenyewe ktk kujisomea.
Shikamooni wakubwa zangu. Vipi hali zenu? Namshukuru mungu kwa kunijaalia uzima na mengineyo ya kheri. Mmenifadhili vyema ila nina ombi lingine ndugu zangu. Naombeni mnisaidie kiasi cha pesa ili niweze kufanyia practical ktk masomo. Kwa atakayejaaliwa naombeni sana kwani itanisaidia kumaliza mapema na kujiandaa vizur ktk mitihan yangu ma pia itanirahisishia kufikia malengo. Kwa yeyote atakayejaaliwa nitashukuru, namba za sim 0654 929 003. Ahsanten
Heheee
...nadhani kuna Kitu nakimmiss hapa..
..practical?...ya nini? Na wapi?
...nadhani kuna Kitu nakimmiss hapa..
..practical?...ya nini? Na wapi?
umejiandikisha wapi na masomo gani utafanyia mitihani?na unahitaji shs ngapi?
Unahitaji shilingi ngapi?
ulipata hela ya mtihani eeh?
mmh.. hapa kuna jambo kama sikosei,si ulikuwa chuo wewe leo una biology,chemistry na physics ?!inakuwaje tena....
eh haya wapi mamaa huruma amuwezeshe dogo akacheze na test tubes lab.