toa presha mkuu tupo jukwaa la jokes
Hapo nimeshindwa kuelewa kuna hoteli ngapi!:lol::lol::lol::lol:Habari mpasuko nini hapo? Abiria kunywa chai au basi kuingia hotelini? Inaonyesha hiyo hoteli ina parking ndani ya hotel !!!
Kuna vitu vya mzaha vingine sio unadhani mtu mwenye pressure atasoma hadi mwisho???
Sina maana hiyo!!! ... Soma vizuri habari mpasuko ndo utanielewa. .....ila hapo maneno "ya hotel " ondoa.:welcome:Hapo nimeshindwa kuelewa kuna hoteli ngapi!:lol::lol::lol::lol:
Kiswahili ni shida sana aisee!