Jamani hii simu muda wote inaandika emergency calls only nimeona solution yake ni ngumu kuipata now natafuta saketi ya hii simu ni samsung ya korea ,naombeni mwenye saketi tuwasiliane popote alipo mm nitamtafuta ili niweke saketi mpya maana naona simu yangu inanichanganya mnoo .
Mawasiliano :0629166514