Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,805
- 8,792
Poleni na majukumu ya maisha hapa na pale, leo napenda mnijulishe hasa kuhusu damu ya ndani ya mwili wa mtu hua ni nini hasa unaweza ukasikia katika kujifungua kwa mama, au upasuaji wanasema alipoteza damu nyingi sana akafa au ubongo umegusa damu akapata tatizo hili
damu damu damu sielewagi kabisa ko mwili ni damu au vipi
naombeni msaada
damu damu damu sielewagi kabisa ko mwili ni damu au vipi
naombeni msaada