Wakuu, mmeona hiki nilichokiona? Je, JamiiForums na X (Twitter) zimefunguliwa rasmi?

Wakuu, mmeona hiki nilichokiona? Je, JamiiForums na X (Twitter) zimefunguliwa rasmi?

Marcostilone

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2023
Posts
7,018
Reaction score
17,938
Wakuu, habari za majukumu.

Naandika uzi huu kwa mshangao kidogo lakini na furaha kwa mbali. Kwa saa kadhaa sasa, nimejaribu kuingia hapa JamiiForums na kule X (zamani Twitter) bila kuwasha VPN na cha ajabu mambo yanajipa fasta!

Kama mnavyojua, tumekuwa tukipata tabu sana na connection bila kutumia njia mbadala, lakini leo hali inaonekana kuwa tofauti.

Je, na nyinyi huko mlipo hali ikoje? Mnaingia bila VPN au ni mimi tu na bahati yangu leo?


Kama ni kweli zimefunguliwa, nini kimebadilika kwa upande wa Serikali na Mamlaka husika (TCRA)?
 
why you gay
Screenshot_20260604-201743.png
 
Back
Top Bottom