wee nionee huruma tu,hali mbaya
Unasemaje Erickb52 ya mke wangu The secretary umeyajuaje? Sasa tunatafutana ubaya arawa.Mh huyo Amyner wa wapi mbona wangu ni msiri sana aisee Bishanga ? Chocs ni mtundu sana yan The secretary hamfikii hata tone labda Remmy kidoogo ndio anamkaribia.
Gwaride langu la kizee wala usiwatishe wake zangu
...sitaki kusema ya chumbani mana utageza buree!!