Habari njema kwa walimu

huyu jamaa anakomaa sana. .hii kitu inanitia wasiwasi
 
nini kinafuata baada ya kujisajili mkuu?!
Ivi ukituma maombi kinachofuata ninini labda kwa mfano, mbona tunaulizana maswali ya kutegana kanakwamba mm natoa nafasi za kazi. Tuwe waelewa jamaan wote sisi ni wasomi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…