Jina nan nikuangalie, maana usiwe umejisajiri tayarimkuu nmefata mtiririko wote lakin bado. angalia first name nmeweka, last name nmeweka, sex nmeweka, email nmeweka, namba ya simu nmeweka, shule nmeweka sekondari, employee or unemployment nmechagua unemployment nahic hapa ndo panashda, pia nkachagua volunteer. then nkaagree na kutaka kukamilsha kwa kujirejista still inaniandikia reg failed what is the problem mkuu
nawe ni mwalimu?Walimu tumeajiliwa na serikali muda wa ziada tunafanya mishe nyingine
Kufundisha kwachosha mkuu
jisajiri=jisajili.Inawezekana umeshajisajiri tayari , kaka