Eti kwa nyinyi mloenda leaders club 24/ 01/2015 ni kweli diamond & Ali kiba walizichapa? maana nilisoma kichwa cha habari cha gazeti moja kilisema; DIAMOND, ALIKIBA WAZICHAPA.