Unasema mikono juu, badala ya mikono kwenye tunguriMikono juu...mikono juu..mikono..juu...juu..juu.juu
Piga keleleeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vina vyenye dongo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Unasema mikono juu, badala ya mikono kwenye tunguri
Nakuelewa wewe ni mkuu, wa kupiga buhuri
Na mambo ya kale kuchanja chale, lete kuku na mbuzi weka pale
Na kafara na mchele nazi tele, wanasema nyinyi hamuagizi tembele [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Endelezeni tiba, wewe na jichawi
Hapa hakuna msiba, mjumbe hauwawi
Test mic kisha itupe kwanguone two...one two
mic check...one two
tunajaribu
Microphone...chek[emoji441]
Akhsante kwa kuja, mkuu yaani kitamboHakuna kudadisi, the gas nazua kesi....
Sizuiliki na polisi, maujanja ka TISS....
Natema flow kali, ka panga lá muuza bucha....
Uzito wa hii mistari, ni Zaid ya Uzito wa busha