Huyo mwandishi wa uingereza alikuwepo pale IKULU?Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli.
Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia kukubali kulia pesa wakati vyombo vyeti nchini vimeripoti kuhusu Acacia kukubali kulipa pesa kwa.
Kwanini habari hizi zimetofautiana sana na kuleta sintofahamu kwa jamii hasa ya wale wenye uwezo wa kapata habari za Nje ya nchi??
Ww unajua bei ya madini?Networth ya Barrick Gold iko less than Tshs.110 trillion.....picha la fiCM linaendelea....
Amini maneno aliyoyasema Prof. Thornton kwa kinywa chake mbele za media baada ya mazungumzo ya Ikulu. Kwani kila mmoja alimsikia and we have the mind of our own sio lazima kila kitu tusaidiwe tafsiri.Vyombo vya Habari vimeripoti taarifa tofauti kuhusu ujio wa boss wa Barrick kutoka canada akiwa na mwenyeji wake Rais Dr John Magufuli.
Vyombo vya habari vya London vimekanusha habari ya Acacia kukubali kulia pesa wakati vyombo vyeti nchini vimeripoti kuhusu Acacia kukubali kulipa pesa kwa.
Kwanini habari hizi zimetofautiana sana na kuleta sintofahamu kwa jamii hasa ya wale wenye uwezo wa kapata habari za Nje ya nchi??
Endelea kusubiri trillion mpaka uzeeke.....Ww unajua bei ya madini?
Hyo hela ni ya masanduku kadhaa ya dhahabu.
Usilete masikhara na dhahabu.
Sijasema nataka hizo hela.Endelea kusubiri trillion mpaka uzeeke.....