Mkuu, unachotakiwa kufanya; Nenda Ofisi za Tanesco, watakubalishia hiyo huduma na kukuweka kweny Kundi la Wateja wao wenye matumizi madogo.Huwa nikiwa nyumba ninayoishi Arusha nikinunua umeme wa luku wa sh 10,000/= napewa unit 28. Nikiwa nyumbani nilipozaliwa Moshi nikinunua umeme wa elfu 10, napewa unit 82. Sielewi hii huduma ipoje au kuna nini nifanye kweny luku ya Arusha ili nipate unit nyingi nikinunua umeme wa elfu 10??? Naombeni ushauri
Asante sana kwa taarifaMkuu, unachotakiwa kufanya; Nenda Ofisi za Tanesco, watakubalishia hiyo huduma na kukuweka kweny Kundi la Wateja wao wenye matumizi madogo.
Wateja wa Matumizi madogo ni wale ambao hawatumii zaidi ya Unit 70 kwa Mwezi.
Nenda Ofisi zao, ni jambo rahisi sana.
Sio lazima nyumba yake ya Arusha ina matumizi makubwa, La hasha...Tanesco wakikuungia umeme kea mara ya kwanza wanakuweka kwenye kundi la matumizi ya kati(ambalo ndo huyo ndugu yupo).Nyumba ya Arusha matumizi yako juu hivyo unazidi unit 75 kwa mwezi hivyo punguza matumizi,kama matumizi yako sawa na ya Moshi Basi kalalamike Tanesco waje waiangalie wakati mwingine mita zinaharibika na kuanza kwenda speed watakubadilishia
Sina matumizi ya zaidi ya unit 75 kwa mwezi, ningekuwa na jiko na pasi Sawa au hita. Ni TV king'amuzi deki, redio, na taa tuuNyumba ya Arusha matumizi yako juu hivyo unazidi unit 75 kwa mwezi hivyo punguza matumizi,kama matumizi yako sawa na ya Moshi Basi kalalamike Tanesco waje waiangalie wakati mwingine mita zinaharibika na kuanza kwenda speed watakubadilishia
HahahahhaAsee yani wananiweka kwenye group la watumiaji wa kati?????!
Maisha yenyew haya
Asee hata kama kuna siku nilinunua umeme kabla ya mwezi hujaisha ntawaambia hiyo siku nilinunua bahati mbaya tu wanisamehe wanirudishe kweny group langu tu hili la kati siliweziYaelekea ulishatumia kwa mwezi ukazidi unit 75 ndio wakupandishia. Wanasema hata ukinunua umeme kabla ya kupit mwezi na kabla hizo unit 75 hazijaisha unapandishiwa
Nahisi kutakuwa naluku za chuo Kama vilivyo vifurushi vya chuo, hiyo ndyo picha inayonijia baada ya kusoma post yakoHuwa nikiwa nyumba ninayoishi Arusha nikinunua umeme wa luku wa sh 10,000/= napewa unit 28. Nikiwa nyumbani nilipozaliwa Moshi nikinunua umeme wa elfu 10, napewa unit 82. Sielewi hii huduma ipoje au kuna nini nifanye kweny luku ya Arusha ili nipate unit nyingi nikinunua umeme wa elfu 10??? Naombeni ushauri