Habari Hizi !

Is this a question?
Jiulize jinsi unavyomwamini mkeo wakati hukumuoa bikra!
 
Is this a question?
Jiulize jinsi unavyomwamini mkeo wakati hukumuoa bikra!


Duu, this is JF.. well ni kumwamini tu mkuu!

By the way, Imani ni imani, waweza amua kuamini hata uongo, alimradi umeamua kuuamini, ni wewe tu utakavo ueekeza ubongo wako kuamini unacho kiona/kisikia/kigusa.. na fahamu zingine.
 
Is this a question?
Jiulize jinsi unavyomwamini mkeo wakati hukumuoa bikra!

Swali la mhusika na kuoa mke bikra vinauhusiano gani na mada husika??? au ni personal attack kwa mleta mada???

Ustaarabu hauuzwi ni kitu cha bure, kama huwezi kuchangia post, kaa kimya utaonekana ni mwenye busara zaidi.
 
Jf imejaa wachambuzi na wanajua kitu cha kuamini na kutoamini Bikra. Hapa ni kisima cha wachambuzi sijapata kuona. Ndio sababu sikatizi wala kuikosa kona hii. Lakini wengi tuna akili timamu kiasi kwamba hata tusiposema au kuchangia lolote tunajua huu ni uongo na huu ni ukweli.
Na labda niweke sawa kwamba huu mfano wako unawahusu wananchi wa danganyika yote na c jf pekee. Si unakumbuka mfano wa Busanda siku za karibuni tu?
Ndio sababu mimi ni mmoja wa watu ambao sikuwahi kuikubali kauli mbiu/mbinu ya maisha bora kwa kila mtanzania a.k.a kujaza watu mapesa mifukoni maana ni sawa na kuniambia unaishi mbinguni na kuja kila alhamisi duniani. Strange technology! NI WEHU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…