Aaaah Bety, kumbe ni member mpya !! Ila inaelekea you're a fast learner, kwani umezimudu baadhi ya features za JF na kuanza kuzitumia kwa haraka. I think unakumbuka just few minutes ago tumekutana nawe 'kule', na nimekupata vizuri, ila mwambie jamaa aturudishie ile link !!