Jamani hawa wanaogelea kwenye mchanga wa pwani!!Watu wawili tofauti hao ha ha ha....huyo moja kafukiwa mchangani mwengine kaificha sura,picha imepigwa kwa chini unaonekana mwili tu!
Ha ha ha hilo silijui!!Eti nduki hao wanaogelea mchangani??Jamani hawa wanaogelea kwenye mchanga wa pwani!!
Nikupe kisa!! utotoni wakanishawishi nijizike nusu mwili pale "banda Beach" baada ya kujifukia !! Wenzgu wakanikimbia "bingwa Loooh acha nilie na kuomba help"!! Duuh nilikawhshiwa hivivi!!Ha ha ha hilo silijui!!Eti nduki hao wanaogelea mchangani??
Umenifurahisha sana ww usiku huu ha ha ha.....pole sana bana halafu ikawaje please niambie walikurudia wakakufukua!!!Nikupe kisa!! utotoni wakanishawishi nijizike nusu mwili pale "banda Beach" baada ya kujifukia !! Wenzgu wakanikimbia "bingwa Loooh acha nilie na kuomba help"!! Duuh nilikawhshiwa hivivi!!
Khaah!! kuna kurudiwa hapo ? siunajuwa ushababi... wnakuchuza inakula kwako... "mmmmnazake mmoja Chico akaondoka na kiatu kimoja na T-shirt!! OMG gracious ...nikapigwa tambo hadi home semi-uchi!! Nex Monday school habari zimeenea!!Umenifurahisha sana ww usiku huu ha ha ha.....pole sana bana halafu ikawaje please niambie walikurudia wakakufukua!!!
Dah maskin hio ni hatareee haikutosha kukufukia wakabeba na nguo dahhhhhh....afu ukawafanya nini dnt tell me they got away with it??Khaah!! kuna kurudiwa hapo ? siunajuwa ushababi... wnakuchuza inakula kwako... "mmmmnazake mmoja Chico akaondoka na kiatu kimoja na T-shirt!! OMG gracious ...nikapigwa tambo hadi home semi-uchi!! Nex Monday school habari zimeenea!!
Ujana una advanture za kizembe!! we wer 5 !! two wakapotezea.... 2 wakanisubiria gogo vivu!! Reprcush/kisasa changu kila nikiwinda... ma Colligs wapo alert!! SOB !! mmoja wao aliiba gari la dingi wake.... kufika kunduchi beach likawa la kusukumasukuma.... hapo sasa!!Dah maskin hio ni hatareee haikutosha kukufukia wakabeba na nguo dahhhhhh....afu ukawafanya nini dnt tell me they got away with it??
Ni vizuri kwamba una kitu ukikumbuka unacheka tu ndo raha ya maisha unaishi lkn una kumbukumbu nzuri kiasi cha kwamba ukirecall unajiona u embrased life...Ujana umeutumia vizuri weye!!Ujana una advanture za kizembe!! we wer 5 !! two wakapotezea.... 2 wakanisubiria gogo vivu!! Reprcush/kisasa changu kila nikiwinda... ma Colligs wapo alert!! SOB !! mmoja wao aliiba gari la dingi wake.... kufika kunduchi beach likawa la kusukumasukuma.... hapo sasa!!
Basi nikajifanya mpole wao wasukume mie dereva...Eeebwanawee lilipowaka tu nikachanganya nikawaacha wote !!! walinihasimu na kunikasrikia!!Ni vizuri kwamba una kitu ukikumbuka unacheka tu ndo raha ya maisha unaishi lkn una kumbukumbu nzuri kiasi cha kwamba ukirecall unajiona u embrased life...Ujana umeutumia vizuri weye!!
ha ha ha uliwaweza kweli!!!Walikipatapata na wao :rockon::rockon:Basi nikajifanya mpole wao wasukume mie dereva...Eeebwanawee lilipowaka tu nikachanganya nikawaacha wote !!! walinihasimu na kunikasrikia!!
Mungu tena nikaidrive hadi kwao nikapark pale kwa mzee wake !! Lakini ufunguo waliufuata home alikuwa timtim! nnnnnnazo!!ha ha ha uliwaweza kweli!!!Walikipatapata na wao :rockon::rockon:
Ngoma ilikuwa droo apo!!!😛eace:Mungu tena nikaidrive hadi kwao nikapark pale kwa mzee wake !! Lakini ufunguo waliufuata home alikuwa timtim! nnnnnnazo!!
Tamamu, baba mtu akatoa radhi kwa mwanae...next term shuleni wakapashwa!! The boy akafanyiwa sanction to meet with ZZ !!ufrendi ukasambaratika!!Ngoma ilikuwa droo apo!!!😛eace:
ahhh bana mbona sad ending!!Kwann urafiki ukasambaratika???Tamamu, baba mtu akatoa radhi kwa mwanae...next term shuleni wakapashwa!! The boy akafanyiwa sanction to meet with ZZ !!ufrendi ukasambaratika!!
Lakini tulijisihi na grow more close sasa tuna global whatsap!!
As usual...kuna wapo wengine huwaga wachoyo na ubinfsi..... Mkuki kwa nguruwe '' ".... lakini Hero remains the Hero!! baadaye tuliCompromise ..halafu kun cultures na bring ups!!ahhh bana mbona sad ending!!Kwann urafiki ukasambaratika???
Dah...thats too bad lkn we can not determine our destinies in life!!!Lilopangwa ndo hilohilo!!As usual...kuna wapo wengine huwaga wachoyo na ubinfsi..... Mkuki kwa nguruwe '' ".... lakini Hero remains the Hero!! baadaye tuliCompromise ..halafu kun cultures na bring ups!!