Ha ha ha mwalimu oyee..!!

Ha ha ha mwalimu oyee..!!

poor you ,ualimu ni wito kazi popote ,take care!
 
Ualimu ni kazi kama kazi nyingine,na wanastahili malipo ya kutosha na mazingira bora ya kazi kama kada zingine!
Ualimu ni wito?
Nani kasema!

ulichoandika hapa na jina lako havifanani haya badilisha haraka hiyo id! Sijui nikupe nini??em chagua... !! Washasikia !! safi sana!
 
Back
Top Bottom