H. pylori ni nini!

H. pylori ni nini!

Joined
Apr 6, 2024
Posts
17
Reaction score
24
H. pylori ni nini?
Ni bakteria hatari wanaoishi tumboni na mara nyingi husababisha gastritis, vidonda vya tumbo na hata saratani ya tumbo.
Dalili kuu:
✅ Maumivu makali ya tumbo (hasa ukiwa hauna chakula tumboni ukiwa na njaa)
✅ Kichefuchefu, gesi nyingi na tumbo kujaa
✅ Kukosa hamu ya kula na kupungua uzito
✅ Wakati mwingine kutapikkutapikna kujisaidia haja kubwa yenye rangi nyeusi

👉 Ukipata dalili hizo na usipochukua hatua mapema madhara ni makubwa zaidi.

Fanya uchunguzi na kupata ushauri mapema.
Usiruhusu maumivu ya tumbo kudhoofisha maisha yako.
Wasiliana na R.J. Counselling & Medical Consultant –
+255 692 689 788 kwa ushauri & Matibabu”
 
Tuombe ufafanuzi pia wa tatizo la mtu kuwa na michubuko tumboni bila kuwa na hawa wadudu, na jee hii hali inaweza letwa na gesi reflux? If so, tiba yake ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom