Gypsum board inaachia kwenye maungio,

only you

Member
Mar 23, 2016
67
49
5d9367eda69fa85825640f619aca4ad1.jpg
a9a95b6725cf1502d37834c7e06226d5.jpg
b550383d49e2d8ef3f16ff5cb27c0a81.jpg
Habari wana JF,naombeni msaada wenu gypsum zinaachia kwenye maungio ,tatizo linaweza kuwa nini Na Nini nifanye kunusuru zisidondoke .
 
Pole sana, fanya hima urekebishe hilo! Je maungio yaliwekewa fiber tape kabla ya kufanyiwa skimming?!
 
blandering uliweka ya chuma au mbao, ulifunga kwa screws ama? pia mafundi walitumia fiber tape kuunga
 
Nilinunua hizo fiber tape ila uhakika Kama waliweka ama lah sina maana Nilikua sishindi nao site.Na je endapo Kama hazikiwekwa nikiweka sasa tatizo litaisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom