Habari zenu.
Niliwahi kumuuzia mashine za gym Mzee wangu mmoja ambaye alikusudia kufungua gym kati ya Zanzibar na Dar.
Lakini kwa ninavyo fahamu ni kuwa hadi sasa bado hajaweza kuanzisha hiyo biasahara kutokana na sababu mbali mbali.
Machine nilizomuuzia ni heavy duty na zipo katika hali nzuri kabisa.
Machine zote nimezipata katika kambi ya jeshi hapa Toronto Canada.
Miezi michache iliyopita nilimshauri ni vyema akaziuza na kurejesha pesa zake.wazo ambalo amelikubali.
Kwa maelezo hayo najaribu kuweka contact za muhusika ili kwa atakayehitajia anaweza kumtafuta na wakawasiliana.
Dokta 1 ni 255 719 534 791
Dokta 2 ni 255 718 043 857
Kwa atakayempigia amwambie tumepata namba kwa kijana wako wa Canada.